Yule jamaa, sasa ametenga billion 4 kupeleka maji CHATO, mabilion kujenga airport CHATO, bado anataka Boeing ya abiria 650 sijui atawatoa wapi
Hakuna ajira labda hiyo 2019 kwa aibu ya kukosa kura na hamtapata wote maana mmekuwa wengi sana wataajiriwa wale 2014 na WACHACHE wa wa 2015, wanaobaki Mtaunga reli hadi 2024
Serikali ya CCM inawapa pole kwa likizo ndefu iliyowapa...inapenda kuwahakikishia wananchi.wake kuwa itaajili walimu 30,000 ifikapo 2020...endeleeni kuwa wavumilivu
.ndo huwa majibu yao..hayamake sense
Kama hamkukosea mbona mnalialia kila Mara? Tatzo ni kuwa tunachagua viongoz kwa kutmia vyama, chama kilekile toka awamu 1,2,3,4 haf 5 tena mnachagua hichohcho je mnatagemea mabadliko? Hakna jipya zaidi ya uongoz wa chuki na visasi!
DAH poleni sana vijana wote ambao mnasubiri ajira za serikali kutokana na matumaini za hap na pale zinazotolewa na serikali. Muhimu muwe tayari na plan B kwa sababu kila dalili inaonyesha serikali hii haina uwezo wa kuajiri waajiri wapya isipokuwa porojo tu.
Jiajiri na ufanye kazi kweli kweli. Usitegemee ajira serikalini zina wenyewe na wameshapeana wizara tayari, wew na bibi yako nenda kalime shamba (sorry kama nimekukosea...!)