Aanze kuwa mtu wa ibada sasa, Ili kujiweka mbali na anasa za dunia. Na atafanikiwa kufanya makubwa kwa 'hicho kidogo' anachopata kwenye ajira yake.Na Kikubwa zaid' hela anayolipwa asee inasomeka palefu kuzid mim huku.,....
Asante Sanaa kwa ushauri mkuu...Hongera kwa moyo wa Upendo na kukata Mnyororo wa Ubinafsi. Mind U kubali kwamba dogo wako ulimsaidia naye ataanza Maisha yake Vitendo vya kutopokea Simu zako, kukupotezea unapokuwa na shida, kupiga chini appointment zako, Kama wewe uko Dar yeye akipangwa Arusha, kubali kwamba atakuwa anakuja Dar anafikia hotel hata Wiki 2 kwako hajji, wewe utakuwa Third Party. Yaaani Kwa sasa Demu wake au Boyfriend wake atakuwa na thamani kubwa kuliko wewe, wakwe zake, marafiki zake halafu ndio wewe utafutata nk.
So usiweke maaanani kwamba Kuna nafuu utaipata kwa dogo lako na epuka kugeuka omba omba kwake kikubwa muongoze kufikia malengo yake kuliko kugeuka kumkumbusha Historia Jinsi ulivyomsaidia undugu utakufa!
TRA si wametangaza nafasi jana tu, kumbe tayari zimejaa?[emoji848]
Mkuu, nakushauri pamoja na Furaha uliyonayo jaribu kukaa kimya tu kuliko kuweka mafanikio yako mitandaoni.Mdogo wangu wa kike ....Atimae amepata Ajira TRA ........ Tunamshukulu sana Mwenyez mungu na serikali yetu Tz!!!!!! Kwani Ajira zimekua changamoto sana sahiv!!!!!!
Iko hivi hichi kitu.....kilikua msalaba mzito sana mgongon kwangu...kwani..Huyu dogo toka yuko form2....,Ni jukum langu....na kibaya zaid' hata alipomaliza form Six.....Huko chuo alikosa mkopo!!!!....
Just imagine... baba nguzo kuu ya familia alistaafu utumishi 2014....Fedha ziliyayuka tuu.....
Mama Ni mama wa nyumbani ndugu zangu wengine wanaunga unga tu....
Kwa hisan yake mola....nilipomaliza shule....2012....(Form4,)...sikukaa sana home nikajichanganya huku na kule ..na zali la kwenda kulitumikia taifa ....Serikalin likaniangukia.
Na atimae mnyololo wa umasikin tukaupunguza..,.
na nisingeweza kumuacha mdogo wangu ikiwa O lever kapiga 2.... Na Six amebutua vizur tu..,..
Nilijibana bana.....tukaanza Kama mchezo huku wazee wakinipa baraka zote nikae nae.....na hakuna ndugu aliewahi hata kumuulizia mishe zake.....
Nisiwachoshe......nilipambana mpka nilikua nalia sometimes......Chuo hana mkopo ...mala mashetan ya ukoo hayatak asome duu ..(Kulogwa)
N.B
Sijahonga popote.....
Wala hatuna connection...
Ni mola ametuona tu.....Nina 27 yrs....dogo Sasa anaitafuta 24......
Na Kikubwa zaid' hela anayolipwa asee inasomeka palefu kuzid mim huku.,....
Goz is Good in all ze tym:...
Nakupimia jinsi umetua Mzigo Mkuu hadi nimekutamani, Mimi ninao ndugu wawili hapa wameshasaga lami hadi nawaonea Huruma tu naona mmoja wa Kiume anataka Bajaj akajiajiri. So naamin hata ingekuwa upande wangu Ningeamkia Vingunguta kununua Mbuzi nimle mzima mzima kwa Mafanikio ya aina yako. Hongera sanaAsante Sanaa kwa ushauri mkuu...
Lakin mi ninajiweza ..furaha yangu kubwa Niko huru na ninampenda sana mdogo wangu.......
Nilimuhaid nitafunga ndoa atakapofanikiwa.....
Ashukuliwe mungu akuniangusha:
Ashukuliwe =AshukuriweAsante Sanaa kwa ushauri mkuu...
Lakin mi ninajiweza ..furaha yangu kubwa Niko huru na ninampenda sana mdogo wangu.......
Nilimuhaid nitafunga ndoa atakapofanikiwa.....
Ashukuliwe mungu akuniangusha:
Asante mkuu.....lakin ilikua sio poa..Nakupimia jinsi umetua Mzigo Mkuu hadi nimekutamani, Mimi ninao ndugu wawili hapa wameshasaga lami hadi nawaonea Huruma tu naona mmoja wa Kiume anataka Bajaj akajiajiri. So naamin hata ingekuwa upande wangu Ningeamkia Vingunguta kununua Mbuzi nimle mzima mzima kwa Mafanikio ya aina yako. Hongera sana
Duuuuuh vibaya hvo cha msingi amjali tu bi"mkubwa....Hongera sana mkuu
Ila jiandae kisaikolojia pale atakapoanza shopping zake na akiolewa tu msije mlaumu haisaidii familia maana kuna njemba nyingine zikioa zinabana hadi mshahara wa mke marufuku kusaidia kwao.
Yaani wewe Ni mtumishi hata kuandika hujui !!!Mdogo wangu wa kike ....Atimae amepata Ajira TRA ........ Tunamshukulu sana Mwenyez mungu na serikali yetu Tz!!!!!! Kwani Ajira zimekua changamoto sana sahiv!!!!!!
Iko hivi hichi kitu.....kilikua msalaba mzito sana mgongon kwangu...kwani..Huyu dogo toka yuko form2....,Ni jukum langu....na kibaya zaid' hata alipomaliza form Six.....Huko chuo alikosa mkopo!!!!....
Just imagine... baba nguzo kuu ya familia alistaafu utumishi 2014....Fedha ziliyayuka tuu.....
Mama Ni mama wa nyumbani ndugu zangu wengine wanaunga unga tu....
Kwa hisan yake mola....nilipomaliza shule....2012....(Form4,)...sikukaa sana home nikajichanganya huku na kule ..na zali la kwenda kulitumikia taifa ....Serikalin likaniangukia.
Na atimae mnyololo wa umasikin tukaupunguza..,.
na nisingeweza kumuacha mdogo wangu ikiwa O lever kapiga 2.... Na Six amebutua vizur tu..,..
Nilijibana bana.....tukaanza Kama mchezo huku wazee wakinipa baraka zote nikae nae.....na hakuna ndugu aliewahi hata kumuulizia mishe zake.....
Nisiwachoshe......nilipambana mpka nilikua nalia sometimes......Chuo hana mkopo ...mala mashetan ya ukoo hayatak asome duu ..(Kulogwa)
N.B
Sijahonga popote.....
Wala hatuna connection...
Ni mola ametuona tu.....Nina 27 yrs....dogo Sasa anaitafuta 24......
Na Kikubwa zaid' hela anayolipwa asee inasomeka palefu kuzid mim huku.,....
Goz is Good in all ze tym:...
Sasa huku mtandaoni hata ukimchukia utapata nini?Mkuu, nakushauri pamoja na Furaha uliyonayo jaribu kukaa kimya tu kuliko kuweka mafanikio yako mitandaoni.
Watanzania sasa hivi tumebadilika sana. Hakuna atayefurahia wewe kupata kazi Wala kufanikiwa.
Wabongo wengi kwasababu ya NJAA na UGUMU wa MAISHA tumejaa CHUKI Kali sana.
Ukitaka kujua Hilo, fuatilia Hakuna mtu mwenye mafanikio hata kidogo ambaye Hana HATERS bila sababu za Msingi.
Kuanzia WANASIASA, WATUMISHI WA UMMA ( hapa namaanisha was NGAZI za chini kabisa ), WASANII n.k.
Usione mtu anakuchekea usoni ukafikiri anafurahia MAFANIKIO yako.
Some people take online hates so emotionalSasa huku mtandaoni hata ukimchukia utapata nini?