Ajira za TPA zinashangaza sana

Ajira za TPA zinashangaza sana

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
mliofanya interview naskia mmekutana na maswali ambayo yamewapa wakati mgumu sana kwakweli poleni ila sikujua mliomba kazi kitengo gani maana kwa mujibu wa mdau aliyeyamwaga maswali yaliyoulizwa hapa yote yameegemea kwenye kozi zao zinazofundishwa katika chuo chao cha Bandari hasa course ya Shipping and port operation ambayo inaanzia certificate hadi Diploma

Ila cha kushangaza hata hao waliosomea hiyo kozi wengi wapo mitaani na cha kushangaza walioomba kazi pamoja kuwa na vyeti vyote vya chuo chao wametumiwa email , mara wanataka NTA level 5, jamaa yangu kaomba akiwa na NTA level 4 kapigwa chini sasa mamia ya wenye NTA level 4 waliohitimu pale sijui wana kosa gani
 
Mkuu katika qualifications za Tangazo walisema NTA level hip? 5/4??
 
kaka mimi nimesoma hicho chuo ila ajira zao zimekuwa za masharti sana jamaa yangu kaomba ana cheti safi na katupwa nnje hata kuutwa hajaitwa
 
Mkuu haya mashirika ya serikali na taasisi nyeti km TPA, BOT, TIAA n.k kupata kazi mlalahoi ni ngumu mno na inawezekana isiwezekane kabisa.
 
kaka mimi nimesoma hicho chuo ila ajira zao zimekuwa za masharti sana jamaa yangu kaomba ana cheti safi na katupwa nnje hata kuutwa hajaitw

Ukiona hivyo ujue Kujuana kumeanza Mkuu trust
 
Ila nimepitia waliochaguliwa interview Kuna watu wamepata 72, mpaka hamsini waliwezaje na mtihani kila mtu anasema jiwe
 
kile chuo chao kwenda kusomea mambo ya bandari ni kuchoma pesa bora uwekeze kwenye biashara itakusaidia ila sio pale
 
Pale ni kujuana tu hakuna cha interview moja ya sector iliyopunguza watu msimu wa vyeti feki bandari waliongoza.
 
na nikujuana kweli kama huna mtu ni heri utulie tu maana nnaowafahamu waliokula ajira wengi walikuwa wana watu wazito na tokea chuo walikuwa wanasema kabisa na kweli wakaula
 
TPA naona itakuwa inaongoza kwa kazi za connection angalau magufuli alivyoiweka kwenye Secretariat ya ajira hila zamani ilikuwa aibu Hata interviews hufanyi ndio maana vyeti feki vilikuwa vingi
 
Back
Top Bottom