Subir Magufuli afungue milango mkuunimemaliza chuo kikuu UDSM year2010
Subir Magufuli afungue milango mkuunimemaliza chuo kikuu UDSM year2010
Kwikwi haha bora yako wewe. Kuna mshikaji wangu aliinyanyua kampuni ya mzee wake mpaka kuwa matawi njemba alipooa mzee wake akawa hataki akapange alipoondoka kwa nguvu akamtosa hata kibarua amemuomba mkopo, mzee wake kakomaa kama anataka mkopo arudi akakae na mke wake nyumban. Uwiii jamaaa kapigika ile mbaya. Wife mjamzito na ndo kamaliza chuo mwaka jana kazi hajapata. Mume kazi hamna gari iko juu ya mawe. Ametafuta mtu wa kuuzia nani anunue nissan. Kabaki anachoma kuku na bachelor yake ya brewering. Kazi ngumu jamanila wazee wengine kama wachawi, wanataka mali zao wabaki nazo pekeyao..
mtoto atajitahidi kufanya juhudi mbali mbali but stil utambiwa hufanyi lolote..mzee wangu mkoloni sana..
Haha magufuli afungue milango wapi wakati sasa hivi redundancy ndo zinaandaliwa. Kuna kikampuni kimoja sikitaji ila kina mkakati wa kukata watu 100. Biashara ngumuSubir Magufuli afungue milango mkuu
Ila wakati mwingine unaeza pambana ili upate ajira lakini wapi mpaka inapelekea mtu kuwaza labda anagundu au elimu uliosoma ni kazi bure...suala la ajira inabidi liangaliwe sana!Subir Magufuli afungue milango mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Wameajiriwa kukuambia wewe ujiajiri..
Majority wameajiriwa!Hivi wanaosema tujiajiri sisi vijana, hivi wao wamejiajiri au wameajiriwa..?