Ajira za Tanzania ni ngumu

Haaaah haaaaah haaaaah! Ki ukweli Kama wewe unatokea familia ya mlalahoi Kama Mimi utaona kujiajiri ni ngumu! But Kama kwenu baba yako alishaa tengeneza njia ya mfano kuwa na kakampuni fulani hivi aaaah kujiajiri ni rahisi Sana. Maana utaendeleza pale baba yako alipoishia.
 
Kwel kabisa kwasababu kama huna mtaji na network then hamna chochote...unajua kwenye kujiajil what matters.most ni network kama huna watu wa kufanya nao biashara au kuwafanyia a certain service like auditing ur dumed...coz mtu anataka kufanyiwa kazi yake kisahihi atako upatie experience kwenye kazi yake...and that what we face in most of employment.opportunities
 
Haaaah haaaaah haaaaah! Ki ukweli Kama wewe unatokea familia ya mlalahoi Kama Mimi utaona kujiajiri ni ngumu! But Kama kwenu baba yako alishaa tengeneza njia ya mfano kuwa na kakampuni fulani hivi aaaah kujiajiri ni rahisi Sana. Maana utaendeleza pale baba yako alipoishia.
Hii kuntu
 
  1. Kujiajiri ni neno jepesi sana kutoka mdomoni kwa mtu aliepo kibaruani, refer to PROF. RUTENGWE alitubu kwa waraka akiomba arudishwe kitengo maana usawa upo tyt bila ajira baada ya kutumbuliwa ukuu wa mkoa. Kabla ya janga yeye ndio alikuwa kinara wa kuhubiria vijana wakajiajiri.
 
Something iz better than nothing mkuu,akiacha atapata wap pengne sinc elim yake haikumuandaa kujiajir?
mkuu, hawa wenye ajira waache vijana wabanane hapo hapo kwenye hizo ajira kiduchu na sio kuwaambia wajiajiri ilhali wao wameshindwa kutekeleza hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom