ajira za serikali 2011 ni 50%

Acha Dhambi

Senior Member
Oct 19, 2010
145
41
kama unasubiri kazi ya serikali za aina yeyote ile kama ualimu kilimo na afya tafuta altenative mapema kwani serikali hiko hoi taarifa zaidi soma mwanahalisi la j5 wiki hii mi nimeanza wewe je?
 
anza ww???????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
ni ajira za mwaka 2012 na sio 2011 kumbuka zimebaki siku 6 tu mwaka 2011 uishe.
 
Tunze kufikiri upya juu ya kujiajiri badala ya kuajiriwa, kupitia jukwaa hili tunaweza ku share namna ya kuanzisha mikakati na tukajiajiri, let us start now before it is too late with all these economic opportunities
 
hapa ni kujiajiri tuu...ss hiv kupata nafasi serikalini labda kama Baba yako anafanya kazi Utumishi........mamamamame kama unatoka mkoa na huna mtu mjini hapa imekula kwako...
 
Tunze kufikiri upya juu ya kujiajiri badala ya kuajiriwa, kupitia jukwaa hili tunaweza ku share namna ya kuanzisha mikakati na tukajiajiri, let us start now before it is too late with all these economic opportunities
hakuna msomi ambaye hana mikakati ndugu issue ni rasilimali fedha hakuna........tutashauriana million times ila tutakwama kwenye fedha..........ushauri serikali itoe mikataba ya muda mfupi ndani ya miaka miwili unapiga chini aje mwingine kubunya.......hii kwa mawazo yangu itasaidia hata vihande kusoma kwa kujiamini.......
 
hela zimepelekwa maadhimisho ya 50 years of dependence. so ajira hakuna waTZ wenzangu. kuna mtu alishawahi kuandika ukichagua hovyo ukubali matendo ya hovyo hovyo.
Tatizo la waTZ "we are expecting a different results by doing the same thing". (refer tendo la October 2010)
 
hali hii itaharakisha mapinduzi zid ya serikali ilojichokea chini ya kiranja mkuu jakaya coz interluctuals wataongezeka mtaan kwa kasi ya ajabu na matumain ya nafuu ya maisha inazid kupungua so naiesabia dakika serikali ya jk
 
ccm inazidi kujichimbia kaburi...inajisifia kwa kuongeza wasomi bila kutatua tatizo la ajira......i believe mapinduzi ya nchi nyingine yalichochewa na wasomi kama sijakosea....shauri yao
 
Dah kweli hali ni tete jamani,cuz 2nakoelekea ni kushika mtutu tu kwenda mbele.habari n ya kweli kabisa hata mimi kuna m2 yupo serikalini kanizibitishia hili suala govt haina mpungaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
dah , one day kitaeleweka, sio ajabu tunaona vijana wa kibongo wanazeeka kabla ya umri , maisha yanapiga, miaka 25, graduate anategemea kila kitu ha ha ha ha ha ha ha, usidhani unapenda, ni mambo ya baba riz-1 namafisadi wenzie
 
haina maana kuwasomesha watu, na usiwatumie. ni sawa na kijiji chenye njaa kilichojitolea kile kidogo kwa watu wachache ili waende kutafuta chakula. wale waliotumwa wanaporudi na chakula chao kinawekwa stoo kinaozea huko wanakijiji wakifa na njaa. ni vyema ile pesa kidogo mliyotumia kuwasomesha msiwaajiri munge wakopesha wakafanya biashara,... cz tanzania is all about biashara, makanisa, maofisi,... biashara tupu. inabidi tufikirie kutumia kile tulichonacho tuwatumie wasomi wetu, au tupunguze idadi ya vyuo cz elimu inayotolewa huko cio ya mtu kujitegemea ni m2 kutegemea ajira, tunaitengeneza nchi ya aina gani? M ungu ibariki tanzania,..
 
Back
Top Bottom