Chief mtawala
New Member
- Sep 25, 2025
- 3
- 2
Heshima kwenu wote familia
Kutokana na changamoto ya ajira hasa katika sekta hizi za engeneering, nikawa nimejaribu kufikiria kuhusu nafasi za kuingia migodini lakini ugumu uliopo ni namna ya kuingia maana nafasi zinatolewa, maombi yanatumwa ila changamoto kupata nafasi ndani.
Binafsi nmepga Electrical installation ngaz ya tatu veta Mwenye ukaribu au uelewa kuhus namna ya kuingia uko basi tushirikishane ata kwa nafas za kujitolea tu
Nawasilisha