Ajira za Dangote cement

Ajira za Dangote cement

I X 01

Senior Member
Joined
Jul 2, 2018
Posts
114
Reaction score
233
Habarini za asubuhi wakuu, mimi niko na swali kuna hizi ajira zinatangazwa na kampuni ya Dangote kila siku tunaomba ila hatupati ata majibu kuna mwanazuoni alishawahi pata hizi ajira au ata kuitwa interview atupe abc za kuomba hizi kazi tufanikiwe wote jamanišŸ˜„
 
Back
Top Bottom