Ajira za barrick gold!

Ajira za barrick gold!

Napenda sana siku moja nifanye kazi migodini nifanye saving 100% kwa miaka 4 hivi ni raise capital ya nguvu (tegemea mshahara)..then nijiajiri ndio naota sana wajuzi naomba msaada kupata kazi za Project Management huko migodini!

tehe tehe...dream nzuri, kiukweli jamaaa wanalipa vizuri sana ukifanya kwa muda fulani unaweza aga umaskini...kila la kheri katka utafutaji ndugu.....
 
Mimi nime maliza kidato cha nne nina omba kazi katika secta yoyote ile nina uzowefu wa kazi ya mesenja pamoja na store.na ukarani nina jua computer na lugha ya kingereza nina jua kiasi kuongea na kuandika pamoja na kumuelewa mtu yeyote naomba kazi 0718312125 hii ndo namba yangu
 
Mimi nime maliza kidato cha nne nina omba kazi katika secta yoyote ile nina uzowefu wa kazi ya mesenja pamoja na store.na ukarani nina jua computer na lugha ya kingereza nina jua kiasi kuongea na kuandika pamoja na kumuelewa mtu yeyote naomba kazi 0718312125 hii ndo namba yangu

Nenda Bulyanhulu pale na barua ya maombi ukaangalie bahati yako kkaka...
 
:mwaaah: ukiulizia bila ukali unajua ni vizuri zaidi!
:majani7: ukiulizia jambo kwa ukali ni kama unarukaruka.
 
am not really saying hawasomi barua za maombi bt it seems km hawazisomi vle coz hata mie nlishawahi kuomba kanafasi flan lkn kimya mpaka sasa,pia kuna jamaa yng aliomba nae kimya....bt this iz Bongoland...cwez kushtuka sn na mkikumbuka usemi wa kwny ktabu cha The man of the people(it doesnt matter what u know but whom u know) naona ni hali ya kawaida....so plz if u cant fight against the current system,join it immediately na kazi utaipata
 
Subiri waamke wajuzi watakufahamisha!ila hujasema nafasi uliioomba

jamaa huwa wanapiga simu kwa aliyefaulu au sometime wakiwa na upungufu huwa wanatruck waliowahi kufanya nao interview na wakafanya vizuri
 
POLENI SANA KUNA TETESI BARRICK IMEUZWA KWA WACHINA NDIO MAANA MAMBO YOTE YA AJIRA YALISIMAMA,INGAWA NA WATU WENGI SASA WANAACHA KAZI KWA AJILI YA FAO LA KUJITOA NSSF,WATU WANACHUKUA NSSF ZAO MAPEMA,NAAMINI JAN 2013 HUENDA WAKATOA NAFASI BAADA YA WACHINA KUCHUKUA MIGODI:smiling:
 
Back
Top Bottom