Ajira ya Uhakika hii Hapa: Hakuna mizengwe

Ajira ya Uhakika hii Hapa: Hakuna mizengwe

wana roho nzuri gani mpaka wakupe hela umekalisha makalio tuu home.
 
wana roho nzuri gani mpaka wakupe hela umekalisha makalio tuu home.

Si pesa ya bure hiyo. Jisajiri uone maelekezo. Hakuna pesa ya bure!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
naonaga akian Mengi kwenye list ya matajiri Africa. Mbona ww haupat utajiri na huu mchezo.
Yaan vitoto vya miaka 16 marekani vinawachezea akili
 
ukimaliza kujisajili wanakutaka ulipe $50 kwa kutumia 1. MasterCard au PayPal.

ni DECI hii coz hapa unapanda mbegu $50.
 
Tumesha potezewa mda huko tumechoka hamna jipya wizi mtupu...hamna chochote najua hiyo ni acc yako kila tuki try wana kwambia pesa zako zina ongezeka hamna lolote mwisho wata kwambia ujaze form then kuna code fulani hivi sikumbuki vizuri ila na fikiri ni zip code ambazo huto weza kujaza kwani tanzania hatuna au utata wao utakuja pale ambapo wata kwambia kua hakuna offer hiyo kwa nchi zetu!! Yani hakuna jipya nikupotezeana muda tu.
 
  • Thanks
Reactions: BIR
Ndugu yangu bofya GoPaidWeekly.com Get Your Guranteed Home Job for 1500$ weekly, then Create Your Account. Yaani utakamilisha usajili wako ndani ya dakika 5 tu.

Hii ni kazi ya mtandaoni! Hakuna garama yoyote ile isipokuwa muda wako na internet services yako!

Unaweza kulipwa hadi $1,500 kwa juma moja

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mkuu wewe umefanya na kulipwa mara ngapi....tafadhali rudi kwenye jukwaa utueleze usijekuwa unatupa habari za vitu ambavyo wewe mwenyewe hujafanikiwa coz we know these things from google adverts etc
 
tafuta ajira yoyote ufanye ili ujipatie kipato, achana na huo upuuzi uliouweka humu janvini.
 
Back
Top Bottom