Ajira wizara ya kilimo/mifugo bado kimya?

Complex number

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
217
Reaction score
56
Habari yenu wana Jf? Nashindwa kufuatilia bunge kutokana na mahali nilipo lakini nimepewa taarifa kuwa wizara ya kilimo imeisha soma makadirio ya matumizi(budget) 2013/2014 na imepitishwa na bunge.Je,wamezungumzaje kuhusu ajira za walio hitimu mafunzo astashahada na stashahada fani za kilimo na mifugo mwaka jana Mei/2012. Manake tuko mtaani sasa ni mwezi wa 11,kama "ka-sungura" (budget)nikadogo tujipange vingine kuliko kusubiri serikali isiyo tujali.
 
Yeah, walisema wataajiri vijana zaidi ya 100. Usiwe na hofu. Tulia kimya.
 
Thanks! Mwanamalundi,ila nimetulia kimya miezi yote hiyo 11 Mh! Hofu mkuu ajira 100 na ushee tu! Wengine wataachwa mtaani nini?
 
Back
Top Bottom