Ajira NSSF kwa watu wa ndani tu

Mwanza sales

Senior Member
Nov 17, 2015
193
87
Kwa wenye vigezo zingatieni masharti
Screenshot_20230917-200853.jpg
 
Watanzania watafika mbinguni wamechoka sana maana wanapelekwa kasi kweli. Kuna siku utumishi italiliwa kwa machozi na damu
Wanavyofanya NSSF ni ubaguzi wa wazi kwani wanawanyima fursa watanzania fursa ya kuajiriwa kwa kigezo cha kujitolea kwao ilihali hizo nafasi za kujitolea pia kama huna connection huzipati, bora mchakato ulivyokuwa PSRS
 
Mala ya mwisho ajira za nssf kupitia psrs ni mwaka gani?
 
Mala ya mwisho ajira za nssf kupitia psrs ni mwaka gani?
Muda mrefu hawajaajiri lkn kwa mujibu wa sheria walitakiwa wapitishe mchakato wao PSRS, wametumia fursa ya agizo la Mheshimiwa raisi kupitisha huu utupolo wao.

Haiingii akilini eti uchukue watu zaidi ya 300 ndani ilhali nje pia wamejaa wenye sifa kama sio kutaka kujazana ukoo, kabila n.k kwenye taasisi moja
 
Hii haipo sawa serikali iangalie vinginevyo 2025 kitaeleweka
Kwa bahati mbaya jeuri ya kufanya kieleweke sisi kama wadanganyika, hatuna tutapelekwa pelekwa kama manyani na chakuwafanya hao majambazi hatuna.😭😭😭 Kiufupi sisi ni watumwa kama watumwa wengine 😭😭😭
 
Kama wanataka wa ndani tu waunde shirika lao la watu wa ndani tu. Lakini hili linaloendeshwa kwa kodi za watanzania wote, bado nafasi zitakuwa wazi kwa wote, watake wasitake!! Hili ni shirika la umma, tumewakabidhi waliendeshe kwa manufaa yetu wote, haiwezekani watugeuke na kutufanya sisi ni wa nje!! Wasubiri moto!! Itabidi Rais aingilie kati kuepusha serkali yake kupelekwa mahakamani!!
 
Back
Top Bottom