Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,091
- 165,233
huenda makosa yaliyopo hapa ndo unayafanya na huko wanakuona sio mtu makini pole sanadah bora ww umeitwa kwenye kujitolea mm hata kujitolea nanyimwa naambiwa niandike barua kwa mkulugenzi then nikifuatilia majibu yangu naambiwa nafasi za kujitolea hakuna saizi serikalini hapa halmashauri ya jiji lambeya