Bro ila usjal utafanikiwa sana Cha msingi ni Dua tu, wengine bado tunasoma lkn hatujuw mbeleni tutavuna nn,...
Kuna wadau waliachaga shule kitambo lkn Wana maisha mazuri na wanaidhihaki elimu mno kama ivyo,,.nishawahi kusikia mtu anamwambia mwenzake "natafuta anayeweza kuchimba choo ila awe na cheti Cha form four" hii kauli ilisemwa na mtu ambaye ameishia darasa la Saba akimwambia ambaye amehitimu form six akisubir kwenda chuo,.. hizo dharau kwakweli sjuw zitaishaga lini