HACHOKI TALEMWA
Member
- Mar 4, 2013
- 93
- 9
Ninashangaa na nakuwa na sintofahamu baada ya kutuma vyeti kwenye email za wizala ya elimu na kukosa kwenye orodha ya waliotuma vyeti na kupelekea kukosa kwenye orodha ya waliopangiwa vituo vya kazi. Sijui nini kipo kwenye vyeti vyangu!!! Hadi sasa sjui nifanyeje ushauri tafadhari wana jf