chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Apr 5, 2015 Thread starter #21 Ajira zitatoka tu tena hivi punde
N nyamwenga JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 660 Reaction score 187 Apr 6, 2015 #22 chichimizi said: Ajira zitatoka tu tena hivi punde Click to expand... we jamaa unachekesha sn, umeleta thread tukadhani unajua kila kitu mara ukauliza zinatoka lini. Sasa hivi tena unatwambia zinatoka hivi pundo! Kawambwa walimu watachizi mtaani sio pazuri, unamuona chichimizi hapa sio yeye!
chichimizi said: Ajira zitatoka tu tena hivi punde Click to expand... we jamaa unachekesha sn, umeleta thread tukadhani unajua kila kitu mara ukauliza zinatoka lini. Sasa hivi tena unatwambia zinatoka hivi pundo! Kawambwa walimu watachizi mtaani sio pazuri, unamuona chichimizi hapa sio yeye!
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Apr 6, 2015 Thread starter #23 Hujui hata kuandi njoo nikufunze kuandika mtembea na bahasha za kaki wewe sio PONDO nimesema PUNDE
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Apr 6, 2015 Thread starter #24 hujui kuandika
O oswinwilliam Senior Member Joined Jan 6, 2015 Posts 112 Reaction score 12 Apr 6, 2015 #25 oya muwe wasomi matangazo ya serikali yana kumb namba ilo vipi mbona alina ata kama la kweli mwambie mwandishi akasome.
oya muwe wasomi matangazo ya serikali yana kumb namba ilo vipi mbona alina ata kama la kweli mwambie mwandishi akasome.
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Apr 6, 2015 Thread starter #26 Hiziii ajira zitatufanya tuwe machizi mwaka huuuuu Attachments 1428293997191.jpg 34 KB · Views: 324
I imanihope JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 384 Reaction score 98 Apr 6, 2015 #27 esta.kubena said: na usipanik mtu kanitumia hiv pundee Click to expand... esta.kubena said: mm naulizaa usilie Click to expand... Masumbuko r bilali said: pumbavu Click to expand... esta.kubena said: wadau na hii kitu jee Click to expand... Haina ukwel...ajira zinatoka second week of April kuriport kuanzia may first
esta.kubena said: na usipanik mtu kanitumia hiv pundee Click to expand... esta.kubena said: mm naulizaa usilie Click to expand... Masumbuko r bilali said: pumbavu Click to expand... esta.kubena said: wadau na hii kitu jee Click to expand... Haina ukwel...ajira zinatoka second week of April kuriport kuanzia may first
S SHIVA MAINA JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 293 Reaction score 42 Apr 6, 2015 #28 Habari za uhakika kutoka tamisemi,, Ajira ni baada ya bunge la bajeti., ama february mwakani
Mchiwa Ng'ambaku JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 959 Reaction score 803 Apr 6, 2015 #29 esta.kubena said: View attachment 240711 Click to expand... Hilo tangazo ni la uongo, ukitaka kujua ni fake angalia wameandika ajira za mwaka 2015/16 wakati ajira zetu sisi ni za mwaka 2014/15
esta.kubena said: View attachment 240711 Click to expand... Hilo tangazo ni la uongo, ukitaka kujua ni fake angalia wameandika ajira za mwaka 2015/16 wakati ajira zetu sisi ni za mwaka 2014/15
A AD MostWanted Senior Member Joined Mar 20, 2015 Posts 108 Reaction score 12 Apr 6, 2015 #30 Me nmeshindwa kuliona, limeabdikwa nn kwn?
O oswinwilliam Senior Member Joined Jan 6, 2015 Posts 112 Reaction score 12 Apr 6, 2015 #31 jama kivuli kinaishi ipo siku utawala wa bi kilembwe utaisha tuvute subira watatujuza tu kama zipo na itakua lini au la.
jama kivuli kinaishi ipo siku utawala wa bi kilembwe utaisha tuvute subira watatujuza tu kama zipo na itakua lini au la.
A AD MostWanted Senior Member Joined Mar 20, 2015 Posts 108 Reaction score 12 Apr 6, 2015 #32 SHIVA MAINA said: Habari za uhakika kutoka tamisemi,, Ajira ni baada ya bunge la bajeti., ama february mwakani Click to expand... kama hivyo bas fresh frm colleges c ndo.watapewa kipaumbele coz mwaka m1 utakuwa umerukwa yan skipped
SHIVA MAINA said: Habari za uhakika kutoka tamisemi,, Ajira ni baada ya bunge la bajeti., ama february mwakani Click to expand... kama hivyo bas fresh frm colleges c ndo.watapewa kipaumbele coz mwaka m1 utakuwa umerukwa yan skipped
Mwakikusi Senior Member Joined Jan 14, 2014 Posts 106 Reaction score 28 Apr 6, 2015 #33 Barua imetengenezwa hakuna barua ya katibu wa wizara yoyote inayoweza kuwa hivyo haina formula,mbaya nembo ya rangi nk.zerooooooo
Barua imetengenezwa hakuna barua ya katibu wa wizara yoyote inayoweza kuwa hivyo haina formula,mbaya nembo ya rangi nk.zerooooooo
2014/15 Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15 Reaction score 2 Apr 6, 2015 #34 mm ninaamini ajira za walim zipo na ninatarajia baada ya pasaka zitakuwa hewani.
2014/15 Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15 Reaction score 2 Apr 6, 2015 #35 mm ninaamini ajira za walim zipo na ninatarajia baada ya pasaka zitakuwa hewani.
2014/15 Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15 Reaction score 2 Apr 6, 2015 #36 barua feki iyo wadau wala musihangaike ,ajira palepale
L Lugano5 R I P Joined Jul 15, 2010 Posts 4,520 Reaction score 759 Apr 6, 2015 #37 2014/15 said: barua feki iyo wadau wala musihangaike ,ajira palepale Click to expand... acha ubishi hakuna ajira Mwaka huu,we unadhani waziri nyalandu alivyolopoka alipitiwa?
2014/15 said: barua feki iyo wadau wala musihangaike ,ajira palepale Click to expand... acha ubishi hakuna ajira Mwaka huu,we unadhani waziri nyalandu alivyolopoka alipitiwa?
2014/15 Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15 Reaction score 2 Apr 6, 2015 #38 ndugu acha kukatisha tamaa vijana ,ajira zipo wala musiwe na wasiwasi wowote taarisheni nauli tu ,muda wowote zitakua hewani (ttr) .wadau ajira zipo vuteni subra.
ndugu acha kukatisha tamaa vijana ,ajira zipo wala musiwe na wasiwasi wowote taarisheni nauli tu ,muda wowote zitakua hewani (ttr) .wadau ajira zipo vuteni subra.
L layoni JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 217 Reaction score 92 Apr 6, 2015 #39 slimhamimu said: Mh! Wewe mwalimu ni hatari thread unaanzisha wewe kuwapa watu taarifa alafu bado unauliza swali tena. Click to expand... duuh!!nimecheka Sana ndugu!! Unaleta taarifa afu unauliza tena zitatoka lini! Kweli ukitaka kuwa mwongo mzuri ni lazima uwe na kumbukumbu nzuri!!
slimhamimu said: Mh! Wewe mwalimu ni hatari thread unaanzisha wewe kuwapa watu taarifa alafu bado unauliza swali tena. Click to expand... duuh!!nimecheka Sana ndugu!! Unaleta taarifa afu unauliza tena zitatoka lini! Kweli ukitaka kuwa mwongo mzuri ni lazima uwe na kumbukumbu nzuri!!
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Apr 6, 2015 Thread starter #40 ..............