Ajira mpya za Walimu 2014/2015

Status
Not open for further replies.
JamiiForums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job from home


Mkuu umeshafanya hizi internet job na ukafanikiwa kulipwa kweli maana tunaona adverts nyingi na zinavutia ila sijasikia ushuhuda wa mtu aliyefanya kwa mafanikio
 
Watatangaza hivi punde

ajira tutawapa vijana ila mkifika uko mkafundishe si vema mkaenda kuwa vinara wa migomo hii ni nchi pesa za bajeti yenu tulikopesha wiki ijayo wataturudishia ndio nitawapanga kazi vijana ccm oyeeeeeeeee!!
 
au hiz laki 7 za posho la bunge la katiba ndo zimekwamisha AJIRA ZETU!!!!!!??? eti selikari haina pesa.......
 
Ajira zimesitishwa kwa nyanja zote kupisha Bunge la Katiba, Chaguzi za serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu2015 hivyo ajira mpaka 2016 kwa wote nukta
 
Hapa utategemea kupata wataalam kama Snowden, yule kijana wa miaka 30 mtaalam wa Tehama(IT) wa shirika la kijasusi la Marekani. Wazee wetu walisoma shule nzuri ile miaka ya sitini za middle schools, lakini baada ya miaka 52 ya uhuru pamoja na madini(minerals) yote tulionayo ......... ni aibu...Wazee wetu walisoma shule nzuri including our current President Kikwete and free of charge mpaka chuo kikuu!
 
Kagose --___ hahahaha nimecheka sana mkuu. Inamaana jamaa yuko kijijini?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom