Ajira mpya za Walimu 2014/2015

Status
Not open for further replies.
Kwa sasa sisi kama serikali hatuna pesa,pesa tumeelekeza katika kuboresha daftrai la mpiga kura,kura ya maoini, uchguzi mkuu.Nyie tutawajili 2016 mwezi wa 7.Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzako,sisi kama serikali hatutaki usumbufu kwasasa,hata vijana wenzenu wa JKT tumeshawaambia.

asante mama salma
 
Acha kuwavunja moyo, vijana mapema april ajira zitatoka mcchoke kuwa na subira.
 
Pinda amesema Leo akiwa Mbeya kuwa walimu elf thelathin na sita na kidogo wataajiriwa
 
jamani post za ualimu bado tu au................. duuuuuuuuuu njaa mtaani, mwenye uhakika wanatoa lini anijuze tafadhali
 
ndo maana mimi nilikataaga kusoma ma programme ya kikuda mwalimu ndo tajiri wa kijijini hakuna changamoto, hakuna wa kumuangilia la mtendaji wa kijiji ubongo unalala yaani ukishatoka huko chimbo(kijijini) unaonekana wa kuja mjini. Ki ukweli ualimu ni taaluma ya kiboya sana bora haya mambo ya ardhi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom