A
Anonymous
Guest
Ajira Mpya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hatujalipwa hela ya kujikimu, tukiuliza wanatuamia watatulipa, lakini kwa experience iliyopo posho ya kujikimu Watu hawalipwi hadi Mwaka unapita.
Pia, posho za watumishi hazilipwi kwa wakati mabosi wakiulizwa wanasema posho ni hisani. Wakati watu wanafanya kazi zaidi ya muda wa kazi halafu hizo posho kutoka sasa ndio tunaambiwa ni Hisani. Tunafanya kazi kuanzia Saa 1:30 Asubuhi hasi saa 11:00 Jioni halafu posho hazitoki ndo tunaambiwa ni hisani kwa nini?
Pia, kuna muda unakuta Mtumishi anatakiwa kulipwa a half perdiem kwa kazi za ndani ya Mkoa lakini wanalipa elfu 20 na ukihoji kwa viongozi unaanza kupigwa zengwe.
Viongozi wenyewe wanajilipa perdiem zao full kama inavyotakiwa.