Nihilist
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 226
- 358
Ni wiki moja tu imesalia kuanzia kuajiriwa na serikali ili nikamilishe mwezi mzima....,kutokea Kagera hadi lindi kwenye ajira yenyewe nilitumia nauli yangu almost 150k jumlisha na familia zaidi ya 300k....pesa imekata, posho hakuna,pesa ya kujikimu hakuna ata mshahara naona dalili labda next month.....jamani kwa hii hali ilivyo ya maisha it's not fair.......kuna umuhimu wa kutukumbuka mapema na sisi huku....nafahamu humu kuna viongozi mbalimbali na pia watoa ushauri kuhusu jambo hili, hebu msikilize ombi hili....