Ajira mpya jeshi la polisi

mpaka hapo umeshapoteza sifa. Hii ni kazi ya wito na kama hauna wito unaweza kuleta madhara makubwa sana kwa jamii na taifa kiujumla.. kama salary ndio kigezo basi kuna uwezekano mkubwa sana wa wewe kushirikiana na wahalifu ili kujipatipatia fedha zaidi. Jeshi likiundwa na wenye wito malalamiko yatapungua sana

na kodi wanatukata kwa wito????mwache mtu aulize maslah hata urais ni wito,,,,
 
Wakuu embu tusaidieni wengine hapa,kwa hiyo kama nimemaliza 2011 siruhusiwi kuomba? mana hapo kwenye 2011/2012 ndiyo pananitatiza,je wanaomaliza mwaka hu tu ndiyo inabidi waombe? au kama nimemaliza mwaka jana pia naweza nikaomba?
 
UNAWEZA UKATA FORM YA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI KUPITIA TOVUTI Tanzania Police Force na mshahara wa kuanzia utakuwa sawa na ule wa inspector wa polisi [mwenye nyota mbili] ambao laki nne na nusu kwenda mbele na posho la laki moja kila baada ya nusu mwezi.
 
wakuu hawajatoa facult gani zinazotakiwa?kwani wapo watu wanasema hawajatoa nafasi kwa facult zote,kwa mwenye taarifa sahihi naomba utujuze hapa wakuu
 
kwa wanaohofia kwamba hawajatangaza facult au wanaohofia kwamba walimaliza 2011, waache hofu. Hayo mambo yatajulikana baadae. Kama ni graduate na MZALENDO inaaminika unaweza kufanya kazi utakayotakiwa baada ya maelekezo utakayopatiwa.

Mishahara isiwatishe sana. Kwa Tz mishahara mikubwa au midogo inategemea na matumizi yako. Mwingine laki 4 ni nyingi mwingine izoizo ni chache; ivoivo milioni kwa wengine ni ndogo na kwa wengine ni kubwa. Msijali, Rusheni CV, aplications, mkishaingia ndani ayo mengine yatajulikana wandugu
 
Nimeona tangazo hapa udbs,wanasema wanaotakiwa kuaply ni graduates wa 2011/2012 wenye fani za Human resource mgt,Llb,engineering,medicineg,Public administration na agriculture.asa cjui sie wengne inakuaje.
 
Nimeingia kweny web ya polisi nimekuta hivyi majina ya form four na form six waliochaguliwa june 2012 nimejarb kuyafungua nimeshindwa,ebu niambieni yanahusu nini?
 
Nimeona wameshachaguliwa na majina yapo ila nikiya download hayafunguki naomba myacheki mtujuze yapo web ya polisi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom