Ajira Mpya 2016

Ajira Mpya 2016

Fadplatnumz

Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
97
Reaction score
13
Huu wimbo wa ajira imekuwa gumzo sana hasa pale tunapopata tetesi tofautitofauti na Leo tena nmepata tetesi kwamba wanaopata ajira ni sayansi na wale waliosoma shahada ya science ambayo so education watachukuliwa na kupatiwa mafunzo kwa muda was miezi mitatu kisha kuajiriwa na watu waliosoma Art wataajiriwa secondary na wengineo primary... Je hii taarifa kwa anayejua anipe maelezo zaidi maana cjaelewa vizuri....
Kwa mwalimu tarajari anayesubiri ajira ntumie namba yako ya simu ktk private message(PM) nikuunge kwene group la WhatsApp la walimu wenzio tunaosubiri ajira
 
taarifa....

ajira mwakani!!!! usiniulize sana mpendwa nakusaidia kama unaweza fanya jambo lingine lakukuingizia fedha!!!! achana na tetesi!!!
 
Back
Top Bottom