FinehAs Member Joined Sep 15, 2015 Posts 19 Reaction score 2 Oct 3, 2015 #1 Habar zenu wanaJF naomba kuuliza vp upatikanaj wa ajira kwa kozi tajwa, na ni maeneo gan husika yanatoa ajira kwa aliyesomea fani hiyo,.??
Habar zenu wanaJF naomba kuuliza vp upatikanaj wa ajira kwa kozi tajwa, na ni maeneo gan husika yanatoa ajira kwa aliyesomea fani hiyo,.??
M Madam Mwajuma JF-Expert Member Joined Sep 13, 2014 Posts 7,075 Reaction score 6,774 Oct 4, 2015 #2 hyo kozi kama humjui mtu yoyote jiandae kwa kununua viatu vyenye soli imara na vyeti uweke lamination visichakae haraka utasugua gaga
hyo kozi kama humjui mtu yoyote jiandae kwa kununua viatu vyenye soli imara na vyeti uweke lamination visichakae haraka utasugua gaga