ajira kwa walimu wapya hizi hapa

Cyprian shayo

Member
Sep 25, 2011
17
0
pande zote za tz ukipokea cm ni swali kuhusu post za walimu wapya.jamani ukweli ni kwamba serikali imejipanga vyema kuwaburuza kwa kutumia ahadi batili hadi watakapo pitisha bajet nyingine.kuhusu bajeti ya mwaka jana muulize mbunge wako aliyeridhia fedha zako ziongezwe kwenye posho yake hadi kufikia laki 2 kwa siku
 
We ni muandishi wa udaku?
 
ndugu yangu sio tabia njema wala sio ungwana ujue unafanya kaz na masihala na kaz za watu.we uombe msamaha mana umetukela sana.jalibu kuwa makin usicheze na hisia za watu
 
pande zote za tz ukipokea cm ni swali kuhusu post za walimu wapya.jamani ukweli ni kwamba serikali imejipanga vyema kuwaburuza kwa kutumia ahadi batili hadi watakapo pitisha bajet nyingine.kuhusu bajeti ya mwaka jana muulize mbunge wako aliyeridhia fedha zako ziongezwe kwenye posho yake hadi kufikia laki 2 kwa siku

acha kuzingua watu weye, hebu angalieni hizi hapa, nimekuta kwenye web ya wizara
 
Uzushi haufai. Wewe kama hujapata kazi hiyo au jamaa yako alifeli hivyo kutopangiwa kituo unyamaze na mkajipange upya!! waachani waliopata nafasi waende wakafanye kazi nanyi mbakie na chuki zenu binafsi!!
 
Back
Top Bottom