Jaman wana JF, naombeni radhi kwanza kwa kuweka thread hii hum kwenye jukwaa la siasa, lengo langu ni kutaka angalau npate mawazo na updates kutoka kwenu kwani ni wengi mnaosoma jukwaa hili, jukwaa la kazi limetawaliwa na uongo na vijembe pia dhihaka ndo mana sijataka kupeleka thread hii huko.
Naombeni kwa wale walio na news au updates za ukweli na uhakika kuhusu hatima ya walimu wapya wanaotarajia kuajiriwa na serikali watupe tumaini walau tunywe maji!
Ni miezi karibu 4 imepita tangu kumaliza chuo hususan kwa wale wa Vyuo vikuu tupo mtaani. Taarifa za serikali zilikuwa ni kwamba kufikia tarehe 15/ Nov, post zingekuwa tayari zishatoka na mpaka Mwezi Desemba, kila m2 kashajua kituo chake na ameripoti,(Source; Gazeti la Mwananchi la tr 6/Nov/2011, Jmosi ) Na taarifa za kiongozi wa TAMISEMI alisema hvyo wakati akijibu swali kuhusu uhaba wa walimu bungeni.
SASA cha ajabu ni kwamba mpaka sasa ni kiza kitupu, hatujui nini kinaendelea, hiyo tarehe ishapita! Tarehe 19/Nov/2011, Jmos ilikuwa ni siku ya kusheherekea Mahafari ya 15 Chuo Kikuu cha Tumaini, Makumira, ambapo nami nlikua miongoni mwa wahitimu, cha ajabu kuna kiongozi mmoja wa serikali aliye2mwa kuwakilisha mkuu wa Wilaya, akatoa tamko kwa kusema kua, serikali haina pesa za kutosha kuajiri walim wote, hivyo kila m2 ajue wapi atapata kazi, hata walimu wakiwemo, hapo hapo akasema serikali ina uhaba wa walimu, na kilio hiki hakitakoma mpaka sekta binafsi ziamue kuisaidia serikali.
(Hatukumwelewa hata kidogo) Naombeni wadau wa elimu na wale walioko karibu na ofisi husika, Jameni tupeni taarifa za kuridhisha! Matamko ya viongozi husika yanatuchanganya!
Naomba kutoa hoja!