DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,002
- 29,452
Kwa tetesi za chinichini ambazo nimezisikia kutoka katika watu naowaamini kutoka wizarani (sitaweza kuwataja kulinda heshima na hadhi zao) ..wamesema kwamba kwa mwaka huu uwezekano wa serikali kuajiri wananchi au wahitimu na ma Intern ni swala gumu na jepesi na akanihakikishia kwamba.
Kama swala hilo halitatekelezwa mwishoni mwa mwezi wa kumi na mwezi wa kumi na moja basi mwezi wa kumi na mbili hawataweza kuajiri na akaniambia kuwa kuna uwezekano ajira zikatoka mwakani mwezi wa sita au wa saba.
Kwayoyote mwenye taarifa na hzi habari naomba atutoe tongotongo wana JF tupate ukweli zaidi maana hili swala linatatanisha kwa wenzangu ambao hawana ajira mimi nna marafiki zangu wengi sana ambao hawana ajira naona wanavoteseka
Katiba inaruhusu kusema chchote tukionacho
pia kila mtu ana haki ya kupata kazi kulingana na katiba