Ajira kibao AZAM MEDIA

Ajira kibao AZAM MEDIA

Matusi na kejeli hayasaidii jaribuni kufuatilia kwa undani.kuweni wastaarabu.halafu waislam hawana masinagogi ache I ufala.nawajua washkaji kibao wakristo tena wanasali pale kinondoni.isitoshe hata baniani wapo wadhungu mnaowapenda ndio kibao wafilipino kibao.tatizo mnaogopa kivuli
 
Mnaropoka kama mko chooni.mbona ile kampuni ya yule mkaskazini wakaskazini kibao.mhh msiogope kuuliza
 
wewe ni raisi wa wapuuzi tanzania, kwahyo ukiona sehemu kuna miti mitatu unaweza kusema hilo eneo lina msitu?

hutegemea zaidi na namna unavyo define neno
"Msitu"

mm na ww hatuwezi kufanana
au ulitaka nitaje majina ya watu 40 kati ya 60 waliopo pale Uhai Production House?

Hao ni wachache tu kati ya wengi waliopo...
Kwa sbb umefundishwa ujinga na wazaz wako basi endelea nao
 
Hao waktisto waliopo ni kwa muda tu. Sana wapo kuwafundisha hao jamaa. Wakishajua kdg tu tunawasubiri vijiweni.
 
Kuna mijamaa ya kule Mikocheni na Ilemela ilikuwa inajitahidi kuzuia DIJITALI, unaona faida za dijitali sasa. Ajira zaidi na wananchi tunapata burudani zaidi. Nyie wa Mikocheni na Ilemela, no substitute to technology acheni mambo yenu ya kizamani alaaa... Nyie mawingu, nyota na independenti acheni hizo wekezeni tu kwenye dijitali treni imeishaondoka. Hapo Azam Tv anachukua wafanyakazi wenu kiuraini. Bravo Azam TV kwa kupanua wigo wa ajira kwa vijana wa kitanzania.

Uhayawani Haubishi hodi....nani aliyekataa mfumo wa dijiti!!! Kupendekeza namna bora ya kuachana na analojia bila kuathiri walalahoi si kukataa. Fanya uchunguzi kabla ya kubwabwaja.

Bravo Azamtv kwa kupanua wigo wa ajira na kuwekeza vizuri ktk tv
 
Vijana acha majungu na maono ya karibu. Katika soko la ajira ndani ya mfumo wa kibebari only competence and your production potential counts=chukua hatua
 
Vijana hacha majungu na maono ya karibu. Katika soko la ajira ndani ya mfumo wa kibebari only competence and your production potential counts=chukua hatua
 
Ni vzr kujua jina la mama yake mtume alikuwa anaitwa nani kwenye interview lazima litakuwemo,hata kenya wakati wameteka west gate lilikuwa swali muhimu walioshindwa walikatwa vichwa.
 
Huu ukosefu wa ajira ndo unapelekea majazba yote haya! Ajira zmeekwa hapo badala kuchangamkia tufanye application...tunaanza kujadili dini humu ndani...nendeni kwenye vipengele vya dini jaman! Hapa ni updates za kazi tu! Mbona tunashindwa kuelewa???maana naona matusi,kejeli na kashfa za udini ztashamiri hapa mda c mrefu
 
we n mpuuz ndo mana, kwan wameeka kigezo cha dini pale?
kaz kuropoka 2
 
Subhanallah,yaani tangazo hili linahusikaje na udini jamani????mbona hawajasema kama wanataka mkristo,au muislam????
 
ili upate kazi hapo lazima uitwe juma, mahmoud, khamis, amour n.k lakini added advantages ukiwa shombeshombe au mwarabu au mhindi kazi umepata
 
Then kuna watu walianzisha thread kuwa azam huwahawatangazi nafasi public ninatangazwa kwenye masinagogi ya waarabu!
sii baada ya kuona elimu kwa wao ni masifuri wamekazania tuu elimu akhera.....ahahahaaa wasirudi upande wa pili mchezo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom