moshi mkuu
Member
- May 14, 2024
- 36
- 26
He tena 😅🙌 sasa kama wew ni jirani na mtandao unasumbua sisi watu kutoka mataiga ya bukoba tusemeje😅😳😅Nipo dodoma tena jiran kabisa na Makao makuu ya jeshi la polisi lakin mtandao unasumbua sana kama sehem zingine
Ni sahihi lakini ndio mtandao hautaki ko tukajua labda mna hiyo chance kwakuwa mpo karbu na hapoHaya mambo yanafanyika online tu.. sio manual....
Unaposema dodoma watu huku wanafanya manual ndo nashangaa
Akienda dodoma ndio hajazi mtandaoni?Mkuu
Kwanini usiende Dodoma moja kwa moja.
Kaka kwako imekubali?Akienda dodoma ndio hajazi mtandaoni?
Sijaona hiyo mkuuNi sahihi lakini ndio mtandao hautaki ko tukajua labda mna hiyo chance kwakuwa mpo karbu na hapo
Licha ya mtandao page yao ipo to slow....Hii ishu ya mtandao sijui suluhisho ni nini?
MkuuDodoma huku... Hamna kitu ka hicho
Shida mda unaenda na wapo kmyWatutafutie njia nyengine t kama Ile ya zamani ya kutuma kwenye email hii ya system inasumbiwa sana
Mtandao ni kote tu yani haijalishi upo wapiHe tena [emoji28][emoji119] sasa kama wew ni jirani na mtandao unasumbua sisi watu kutoka mataiga ya bukoba tusemeje[emoji28][emoji15][emoji28]
Ukisikia haikiombeki basi ndio hizi ajira za polisiMbn kwangu naon bado au umeskia vby maan mitaa hapa hamn kitu kbsa watu ad wanafika 100 wamekaa cafe moja wanasubir mtandao tu
Vijana hadi hawali wanaona wakiondok wanawez pishan na mtandano na ikawa shida
Sawa mkuuMkuu
Asante kwa mrejesho. Japo mimi kuna ndugu yangu alienda akafanikiwa anasema mtandao kidogo una afadhali.
Nikafikiri labda bado kwa upande huo patakuwa na nafuu ( Ahsante kwa taarifa)
Hadi unapata nguvu ya kuuliza hivi kwamba wewe tyr umeshafanikiwa kuapply sio😳Ivi kozi inakua mudq gani kwa mwenye idea maana ngoma ishakua mchanganyo wa mada ⚡⚡⚡
Hadi unapata nguvu ya kuuliza hivi kwamba wewe tyr
Huwa ni mwaka au miez tisaMuhmu kujua tunapambania nn mkuu sio tunapply tuu alaf tunabet maisha yanaenda kas wakat aumsubil mtu
Kwel io bye bye mtaa kumbe ni kupoteaHuwa ni mwaka au miez tisa
Ndio huwa hvy mkuu vp umekamilisha nini au unaconection😅Kwel io bye bye mtaa kumbe ni kupotea