Je ni baada ya kanisa RC pale mwisho wa lami kama unaenda Kifuru?
Yale maeneo ni makazi mapya, kuwahi mapema kuwazoesha watu kujua huduma bora zinapatikana wapi ni muhimu, unaweza kufungua godown dogo la vyakula kama Tandika vile, na watu wakageuza mwelekeo wa kwenda Tandika. Depot ya kinywaji kikali iko pale Kinyerezi njia panda kama unaenda Majumba sita kushoto. Sijaona Depot ya nguvu ya saruji mitaa ile.