ajira au volunteer

Mungu akupe hitaji lako mkuu.... Ukiachana na kusema humu pia jaribu kwenda kwenye mashirika husika then unaomba dakika 15 uongee nae HR au boss alfu unawaeleza mapungufu ya hiyo sehemu ambayo inabidi uwe na uhakika ni mapungufu yaliyopo na unaweza elezea jinsi kazi zinavyofanyika humo ofisini na mwisho unasema projects zako ambazo unaweza kuintroduce kuimprove kampuni..... Mwisho unaomba nafasi hata ya kujitolea naimani ukijieleza vizuri watakupa nafasi....

Mfano bank yoyote TZ unaweza funguka hayo yote na ukasema moja ya project zako ni Hawachi care account ambayo itadeal na Kinamama wajawazito ambapo account hiyo itatunza pesa kwa miezi 9 kama fixed na baada ya hapo kutakuwa na ongezeko la pesa za mteja kwa 18% au 20%..........

hiyo project ukipenda itumie nimetoa kichwani but kuna vitu vingi sana ambayo unaweza viintroduce mfano unaweza weka scholar account ambayo mzazi atafungua account kwaajili ya dogo wa secondary anaeanza form 1 nae akimaliza form 6 na kuanza chuo ataruhusiwa kutoa pesa nayo hiyo itakuwa kama fixed na useme kutarise pesa yake mteja atakaeweka kwamuda huo kwa 23%........

Mungu akusaidie hope utafanikiwa kampuni nyingi zinahitaji ubunifu jitahidi sana kuweka hizo idea kwenye mpangilio project ziwe zinavutia uwe mtanashati na uwe smart katika kuongea Mungu atafungua njia kwaajili yako...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran broo
 
Back
Top Bottom