Ajira 45,000 mwaka 20/21 ni uongo wa mchana na hii ndiyo sababu

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,340
5,574
Wadau,

Waziri wa ajira amesema serikali itaajili wafanyakazi wapya wapatao 45000 kasoro kidogo katika mwaka huu wa fedha. Mie nadhani ni uongo wa mchana kwani katika kipindi cha miaka minne serikali ilishindwa kuajiri hata wafanyakazi elf 15 tu, je itaweza kipindi hiki ambacho tunacorono na madeni ya serikali ni makubwa?
 
Wadau, waziri wa ajira amesema serikali itaajili wafanyakazi wapya wapatao 45000 kasoro kidogo, katika mwaka huu wa fedha. Mie nadhani ni uongo wa mchana kwani katika kipindi cha ,miaka minne serikali ilishindwa kuajiri hata wafanyakazi elf 15 tu, je itaweza kipindi hiki ambacho tunacorono na madeni ya serikali ni makubwa?
Dont trust a politician (hasa wa ccm) hata akiwa ni mama yako mzazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SASA TUFANYEJE KAMA AJIRA HAZITANGZWI

QUOTE="Bia yetu, post: 35004763, member: 591117"]
Wenzako wanaenda kwenye interviews wanalamba ajira wala hawapo humu mtandaoni kupiga kelele

Wewe subiria serkali itakuletea barua ya kukuajiri nyumbani kwa wazazi wako Endelea kucheza draft

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
 
Inawezekana ila inaweza isiwwzekane pia.

kumbuka miaka 5 toa awamu ya JK kunawatu wanastaafu kila siku. Tuasssume wapo 10,000 kila mwaka, maana yake ni 50,000 kwa miaka 5.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upotoshaji wewe,Tatizo la vijana wa Ufipa mnajifanya mnadharau,serikali yetu ya wanyonge acha ituajiri na sisi watoto wa wakulima.Mungu atuepushe na corona tu.
Mkuu bado hujaingia serikalini tu.

Muda uinayoyoma huo. Tehe tehe
 
Back
Top Bottom