Ajira 45,000 mwaka 20/21 ni uongo wa mchana na hii ndiyo sababu

Mkuu bado hujaingia serikalini tu.

Muda uinayoyoma huo. Tehe tehe
Dah yani vijana wa Ufipa bwana,mimi nitakuja kuwaambia humu ndani nikiingia serikalini.Ufipa acheni roho mbaya.Kwa hiyo kwa kuwa mimi CCM bado sijapata Ajira ndo kunidharau et muda unaenda daaahh.Kila jambo lina muda wake Vijana.CCM milele.Magufuli hapa kazi tu,Majaliwa piga Kazi ...2020 JPM tena.Hapo ulipo Sema serikali ya Awamu ya tano na Ajira nje nje.CCM oyeeeeeeeee
mazagaone@gmail.com
 
Wenzako wanaenda kwenye interviews wanalamba ajira wala hawapo humu mtandaoni kupiga kelele

Wewe subiria serkali itakuletea barua ya kukuajiri nyumbani kwa wazazi wako Endelea kucheza draft

Sent using Jamii Forums mobile app
We Jamaa utakua umetumwa humu maana umejiunga juzi tu lakini Una thread nyingi za kuupondea upinzani na kusifia chama lenu
Screenshot_20200418-002344.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah yani vijana wa Ufipa bwana,mimi nitakuja kuwaambia humu ndani nikiingia serikalini.Ufipa acheni roho mbaya.Kwa hiyo kwa kuwa mimi CCM bado sijapata Ajira ndo kunidharau et muda unaenda daaahh.Kila jambo lina muda wake Vijana.CCM milele.Magufuli hapa kazi tu,Majaliwa piga Kazi ...2020 JPM tena.Hapo ulipo Sema serikali ya Awamu ya tano na Ajira nje nje.CCM oyeeeeeeeee
mazagaone@gmail.com
Safi sana naona umetupia na anuani ya barua pepe ili viongoz wa genge lako waweze kukutambua na kukurehemu/ kukukirimu
 
Awamu wanaweza kusema lolote bil chembe ya aibu.
Utasikia MSD billion 250 za kununulia dawa. Mwaka ukiisha wamemtoa billion 50. Chini ya zile awamu ya Jakaya.
 
Wadau,

Waziri wa ajira amesema serikali itaajili wafanyakazi wapya wapatao 45000 kasoro kidogo katika mwaka huu wa fedha. Mie nadhani ni uongo wa mchana kwani katika kipindi cha miaka minne serikali ilishindwa kuajiri hata wafanyakazi elf 15 tu, je itaweza kipindi hiki ambacho tunacorono na madeni ya serikali ni makubwa?
Kuna uchaguzi mwaka huu.
 
Safi sana naona umetupia na anuani ya barua pepe ili viongoz wa genge lako waweze kukutambua na kukurehemu/ kukukirimu
Hayo mawazo yako,mimi nimeweka unitukane kupitia hiyo email,yani uniseme yote humo,acha kupotosha kijana wa Ufipa.Njoo huku upate raha kijana mwenzangu.
 
Unaushabiki wa kitoto sana!

Sent by Raphael_focus
Yani ni mahaba ya hali ya juu,najivunia kuwa na Chama mama,Chama tawala kilichoshika dola,asa niringie wapi tena? Mamikopo kwa wanafunzi imemwaga,mahospital na mazahanati yanajengwa,Ajira hizo hapoo,huoni na mimi kwanini nisifurahi kwamba nitapata Ajira kwa imani na kwa Uweza wa Mungu.Maisha ndiyo haya haya ukiwa sehemu unayoipenda rahaaaaaaa.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom