Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
kijana miaka 15 anaweza endesha gari UK, miaka 16 utu uzima kabisa!!...Jamaa hana kesi ya kujibu!Under 18 wanashauriwa kukaa mbali na mapenzi. Kama huyo jamaa ni above 18 kesi inamhusu. Atakula mvua chache kama tu atakua hakujibu neno la kukwaza kwa ujumbe wa Binti.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kibongobongo:
mwanamke angesema akafie mbali ujumbe kashapata!
mwanaume angekuja lalamika JF mpenz wake kachapwa jana!.
Wazungu wana maamuzi magumu.Hahaaa. Aisee atakuwa na sababu nyingine nje ya hilo aisee. Sababu unaweza sema ni woga ila huo wake sio woga sababu angekuwa mwoga angeogopa huko kulala na huyo mwanaume mwingine na sio kutuma msg.
Ila pia hajataka kujiongeza. Si angesubiri tu kwanza aone moshi utafukaje sasa kuanza kujinyonga tena lol.
Umri pia nao ni unaweza kuwa sababu.
Usikute marehemu aliandika kagawa hadi tigo ya kizungu!..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23]Usikute marehemu aliandika kagawa hadi tigo ya kizungu!..
Kajitendea hakiMsichana wa miaka 17 Charlotte Guy ambae ni Mwanachuo Uingereza amekutwa amejinyonga baada ya kumtumia Mpenzi wake meseji kwa bahati mbaya.
Inadaiwa Charlote alitaka aitume msg hiyo kwa rafiki yake kumwambia kuwa amelala na Mwanaume mwingine usiku wa jana.
[HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]
Na kweli aisee.Wazungu wana maamuzi magumu.
Ulaya ipo sheria hiyo?Under 18 wanashauriwa kukaa mbali na mapenzi. Kama huyo jamaa ni above 18 kesi inamhusu. Atakula mvua chache kama tu atakua hakujibu neno la kukwaza kwa ujumbe wa Binti.