Ajinyonga baada ya kufeli mtihani wa kidato cha nne 2014

Ajinyonga baada ya kufeli mtihani wa kidato cha nne 2014

Nilifeli kwasababu sikupenda kabisa kusoma, sijawahi hata kujuta japo almanusura nifaulu kwakuwa nina akili za kuzaliwa... Nilipiga shortcut(college) na sasa nalisongesha na elimu, baada ya kujua dawa ya kufaulu ni kusoma naona elimu ni 'simpo' tu...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Wakuu...

Hivi ilikuaje wewe ulifeli na ulijisikiaje ulijionaje...Na ulifanyaje baada ya kufeli????Sipati picha kama wewe ni mwanaume...
Ukiwa mwanaume kuanguka na kunyanyuka ni kawaida sanaa..mhimu uwe mpambanaji tu..matajir wengi walifeli ila ndio wanaoionhoza nchi nyingi duniani kama trump.

young kilimanjaro
 
Nilijisikia vibaya,lakini niligundua there is a second chance to make it better
 
Mm kufeli n kuponea kweny tundu la sindano ni kawaida yangu kabsa

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
 
Back
Top Bottom