Ajinyonga baada ya kufeli mtihani wa kidato cha nne 2014

Ajinyonga baada ya kufeli mtihani wa kidato cha nne 2014

elimu ya tanzania inawafanya wanafunzi waogope maisha ya nje na elimu kwasababu mfumo wa elimu sio huru ni wa kikoloni unawafanya watu iwakisoma wajitenge na jamii ya asili na kujiona wanaufahari na kwamba wao ndio wamefaulu maisha ikitokea kafeli na huu mfumo wa elimu anachanganyikiwa wengine wanajiua kama huyu
 
Inasikitisha sana na pia umaskini unachangia.Angekuwa mtoto wa kigogo hata presha hapati anajua popote atasoma
 
Mwafhe afe tu..badala ya kusoma yeye kutwa yuko jf kusoma hataki...matokeo yakitoka kafeli anajinyonga.mxxxx
 
Ukifuatilia maendeleo yake since form one utakuta alikuwa kilaza mzuri tu sasa unashindwa kuelewa tatizo.

Anyway kujiua ni kukwepa majukumu tu hakuna jipya.

Mawazo yangu ni kuwa huenda alikuwa na uwezo tu wa kutosha kufaulu na kisha mtihani wake kaufanya tu vizuri na alitegemea matokeo yake yangekuwa mazuri. Kufeli kumemkatisha tamaa sana akakosa wa kumpa mawazo mbadala.
swali;
Hivi mwanafunzi mjinga huwa anajiua? Mi naona huwa wanaona afadhali muda ufike wamalize shule, tena wanaona kuwa wanapotezewa muda, sidhani kama wanawaza kujiua huku na huku wakijuawazi uwezo hawana
 
Elimu inatakiwa itolewe zaid kwa wanafunzi kwamba kufel mtihan si kufel maish
 
Vijana wetu wanapaswa kuandaliwa kisaikolojia tokea wawapo shuleni,kuhimizwa kusoma kwa bidii na namna ya kujiandaa na mitihani ya mwisho,tatizo vijana wengi hawana mwamko wa kusoma kwa bidii,wanaofeli ni wengi kuliko zile takwimu za kimagumashi tunazopewa na wizara,eti division 4 inaitwa PASS,wapi na wapi,hiyo 4 ni failure ukichanganya na zile 0 wanaofeli ni wengi,na kama wote wataamua kujitoa uhai tutatangaza msiba wa kitaifa,poleni sana wafiwa.
 
Tatizo la kujinyonga sasa linaota mizizi. Nadhani hata wazazi wanachangia hali hii. Mara nying wazazi wamekuwa wakikusana tabia na mwenendo wa watoto wao wanapokuwa shuleni na kutoa vitisho kwao iwapo watashindwa mtihani.

Hali hii huwafanya wanafunzi kujiona hawana amani pindi matokeo yanapotoka. Ni muda muafaka kuwaandaa wazazi namana ya kupokea matokeo ya watoto wao na kushirikiana kutafuta njia mbadala.
 
Wazazi/walezi, ndugu na marafiki ndio wanao changia kwa kiasi kikubwa haya matukio kutokea, takwimu zinaonyesha kila matokeo yanapotoka matukio kama haya utokea, Ushauri wangu kwa jamii ni kuwa jirani na kuwapa moyo wa kutokata tamaa kwa matokeo mabaya, badala yake wawaonyeshe njia mbadala ambazo wanaweza kupitia na kufikia malengo yao. Walimu, wazazi/ walezi tunalo jukumu la kuwaandaa watoto kisaikologia kabla ya matokeo ili watakapo pokea matokeo wakubaliane nayo hata kama ni mabaya kwani kufeli kwa mitihani sio kufeli kwa maisha.
 
Wakuu...

Hivi ilikuaje wewe ulifeli na ulijisikiaje ulijionaje...Na ulifanyaje baada ya kufeli????Sipati picha kama wewe ni mwanaume...
 
Nilijisikia vizuri tu nikafanya na sherehe kwa maana mimi bado nina amini yale niliyo jaza ndio majibu sahii...
 
Mwanaume haogop kufeli,ikitokea anatafuta alternative nyingine.

Philips X2560
 
Mimi niliwahi kupata alama chache yaani C tena chuoni .nakumbuka ILIKUWA bado kama wiki mbili hivi kuingia UE kisha nikapigwa kibuti.aisee KIBUTI KISIKIE TU ILA KISIKUKUTE ILA NOW NIKO POA NA LOWER SECOND KWENYE KABATI LAKINI MI NAONA SAWA TU MAANA HATA WALIOPATA FIRST CLASS BADO TUNASUGUA PAMOJA KITAA
 
Back
Top Bottom