KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,552
- 813
Mateja walikutana na mama mmoja wakasema hawataki cha ziada toka kwake labda kumfanyizia kitu kibaya.
Yule mama kwa upole akawambia kuwa yeye hana hiana lakini anawaonea huruma kwa vile bado ni vijana wadogo naasingetaka kuwaambukiza ngoma kwa vile keshapima na ni positive.
Hapohapo akafungua pochi nakutoa kondomu, wasela bangi ziliwaishia kila mmoja akasepa kivyakevyake.