Ajidai muhudumu wa basi na kuibia abiria

Ajidai muhudumu wa basi na kuibia abiria

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
354
Reaction score
1,042

Wezi kila siku wanabuni mbinu pya ili kutimiza nia zao ovu, huyo kwenye video alijidai mfanyakazi wa basi la Abood na kudai tiketi kisha iliyokuwa kwenye simu akajifanya anaenda kukagua akaondoka na simu
 
Dereva na mhudumu halisi walikuwa wapi?
Huduma kwa wateja nchi hii ni tatizo
Mhudumu halisi anatakiwa kuwepo muda wote abiria wanapokuwa kwenye basi
 
Back
Top Bottom