Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,456
- 872,090
Hayo maneno yao sio sahihi ingawa picha imenichekesha sana.
Hayo maneno mi naona ni sahihi, ki uhalisia kazi nyingi wanazofanya wanaume ni hatarishi kiafya zaidi kuliko wanazofanya wakinamama, mfano mdogo angalia vijana wanaobeba magunia (lumbesa) huwa wanapata sana matatizo ya kiafya ambayo huchangia vifo, ipo mifano mingi tu.

Hata wakina mama sasa hivi wataanza kufa mapema kama wanaume kwa kuwa wameanza kufanya yanayomchukiza Mungu uzinzi, uuwaji na mengineo. Hata kazi iwe ngumu kiasi gani kama matendo yako ni mazuri Mungu atakulinda mpk ufike 70yrs!
Halafu usiku wana fatique ya kuingiza mitarimbo yao kwenye yale mashimo marefu yenye mtoto kali
Ama kweli wanaume tumeumbwa mateso