Ajali yaua watatu Bunju B, Dar

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,276
Ajali imetokea Bunju B na kuua watu watatu papo hapo ambao ni madereva wa bodaboda na VX kuchomwa moto.

Dereva wa VX katoka mzima ila gari lake limechomwa moto na wananchi.

Maiti zimepelekwa Kituo cha Polisi Bunjua A.


 

Attachments

  • bunju 2.png
    117.5 KB · Views: 63,635
  • bunju.png
    60.3 KB · Views: 26,195
  • gari.jpg
    27.6 KB · Views: 10,460
So sad! kwa nini jamani tunajichukulia sheria mkononi ?

Uwa tunajifanya tuna hasira kali kwa vitu vidogo,natamani siku moja hiyo hasira kali tuitumie kuiondoa serikali inayokubali magari chakavu na pikipiki za chini ya kiwango zinazoua ndugu zetu kila uchao.

Pia ata pesa za umma za Eskrow tungezidai kwa hasira kali

Bring back our tanganyika

 
duh poleni wahanga..ila dereva wa boda boda ni janga kuweni makini madereva
 
Ni kweli mkuu hiyo ajali imetokea na nimeshuhudia kwa macho nikiwa kwenye msafara nikielekewa bagamoyo
 

Attachments

  • 1418379005355.jpg
    39.8 KB · Views: 2,214
  • 1418379020606.jpg
    68.9 KB · Views: 1,953
Ajali imetokea Bunju B na kuua watu watatu papo hapo ambao ni madereva wa bodaboda na VX kuchomwa moto.

Dereva wa VX katoka mzima ila gari lake limechomwa moto na wananchi.

Maiti zimepelekwa Kituo cha Polisi Bunjua A

Hebu tuambie cahanzo cha ajali nini...Maana huenda landcriser ilikuwa haina makosa...Maana boda boda wengi wanakunywa viroba..
 
POleni wafiwa.

Na pia tukumbuke baadhi ya madereva Bodaboda ni Janga lingine la Taifa.

Tuwe makini kipindi hiki ajali ni nyingi.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…