Ajali ya pikipiki Burundi

Nubian Ancient

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
958
Reaction score
1,183
Huku Bujumbura, Burundi mtu mmoja amefariki hapo hapo baada pikipiki mbili kugongana. Mashuhuda wamesema kuwa , kulikuwa na pikipiki mbili. Moja ndio ilikuwa inatumika kwa Wizi na ndio mmoja wao aliyekufa na mwingine Mahututi. Na pikipiki nyingene ilikuwa ni mtu binafsi ambaye pia ameumia vibaya sana.

[emoji117]Wezi hao ilifahamika walikuwa awapo kwenye harakati ya kukimbia baada ya kumpora Simu mpita njia. Wezi wenyewe ni Mwenye nguo Za bruu ndiye aliyefariki hapo hapo na mwenzie mwenye T-shirt Nyeupe na Jinsi nyeusi.

Samahani kwa picha huenda zikawa mbaya.
 
Wapumzike kwa amani wezi wa burundi.
 
 
Vijana wenye siha njema kabisa;
wanakuja kufa kwa ajili ya wizi wa simu
ukute ni ya elfu hamsini, jamani vijana jishughulisheni na kazi halali.
 
kumbe pikipiki inaua ee!! mhhhh
 
Vijana wenye siha njema kabisa;
wanakuja kufa kwa ajili ya wizi wa simu
ukute ni ya elfu hamsini, jamani vijana jishughulisheni na kazi halali.
sawa mama, jf tupo vijana watiifu tu.. tunajishughulisha na kazi halali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…