Jamani kama ni kweli tupe habari, je ni ndege ya shirika gani, ilikuwa na watu wangapi, ilikuwa inatokea wapi, je imetokeaje, watu wangapi wamefariki na je kuna waliopona?
Ninavyo jua uki-Quote matusi na wewe ulie ko-Quote adhabu inakuhusu....Mkuu ulitakiwa ubonyeze Report Abuse/Post ili hatua ichukuliwe haraka! Hata hivyo itafanyiwa kazi!
Pole sanadiscipline.
imeanguka chini pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,yaani mlio mkbwa ndo tunafuatilia matokeo yake
naomba iwe ya vasco
...kuna mtu aliota humu kuhusu ajali ya ndege!