Ajali ya moto; bus la Tahmeed

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,547
729,427
Upotevu wa vitu na uharibifu wa mali eneo la Komkonga Handeni hakuna vifo wala majeruhi
661b6f1fbfb57029c1e9b07e44789a9c.jpg
da1258030c5cab9d805c095e6ded8174.jpg
731a9494b56af8957ac725c73c9dba78.jpg
ilivyokuwa;
Kuna abiria aliomba kushuka akajisaidie, dereva akasimamisha gari wakashuka na wengine na moto ukaanza kuwaka kwenye tairi za nyuma
 
Moto ulipoanzia walikuwa wanaweza kuokoa mizigo.
Hata hivyo bima italipa.
 
Back
Top Bottom