The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Mnatumia nguvu nyingi sana kuteteaNichangie kwenye #2; iko hivi, tairi ikiwa imejaa upepo huwaga haiungui ikaisha yan. Ko ndo hivo jamaayangu!
Mnatumia nguvu nyingi sana kuteteaNichangie kwenye #2; iko hivi, tairi ikiwa imejaa upepo huwaga haiungui ikaisha yan. Ko ndo hivo jamaayangu!
2. Pikipiki zilizokuwa eneo la tukio zimeungua. Ila cha kushangaza Mipira ya Magurudumu ya Pikipiki ambayo ni PLASTIC haijaungua au kuungua kidogo.
mwambie arudishe simu ya watu akachote maji punda wana hisi kiuMagurudumu ni pladtic!!? Nilidhani uzi huu una jambo jipya kumbe mwandishi hajui aandikacho
J ni wazalendo na wajenga nchi waliotukukaRais ajae jina lake la kwanza yaani first name lisianze na herufi "J" ktk mpangilio wa alphabet badala yake tuanze na wale wenye majina yaanzayo na herufi "A,B,D..." Tuangalie ñyota zao hizo JJJ ni kama nuksi![]()
Hizi J ni maigizo tuu mjenga nnchi ni yule B akaja J akatapanya mali, akaja J huyu ndo dira haielewekiJ ni wazalendo na wajenga nchi waliotukuka
B ndiye aliyemleta huyu J wa ovyoHizi J ni maigizo tuu mjenga nnchi ni yule B akaja J akatapanya mali, akaja J huyu ndo dira haieleweki
😂😂😂 sasa umeamua kuelewa,Lina J hawafai Kwan sass Labda tujaribu kina BB ndiye aliyemleta huyu J wa ovyo
B ni hopeless. Labba O for Obamasasa umeamua kuelewa,Lina J hawafai Kwan sass Labda tujaribu kina B
hahaha tumuandae Ombeni SefueB ni hopeless. Labba O for Obama
Hivi huyo mzee alipangiwa kazi gani ?hahaha tumuandae Ombeni Sefue
Mkuu kuna kazi maalumu na kazi ya kupangiwa atachaguliwa awejeHivi huyo mzee alipangiwa kazi gani ?
Rais ajaye wa Tanzania Balozi mstaafu Ombeni SefueMkuu kuna kazi maalumu na kazi ya kupangiwa atachaguliwa aweje