Ajali ya Morogoro ni kafara?

Ajali ya Morogoro ni kafara?

Kwa kuwa amesema yeye ni jiwe.basi kila shambulizi mnamsukumia yeye
 
Nina video kabla ya mlipuko,watu walikuwa wengi sana wanachota mafuta kwa kuchimba vishimo,kwahiyo mafuta yalienea hicho kisehemu ambacho unaona kidogo,mafuta yalitapakaa mwili mzima kwenye nguo zao wakati wa uchotaji,kwahiyo ilipotokea blast,hakukuwa na ujanja,kasi ya petroli unaijua wewe pawapo na moto,ni hatari kaka.
 
Ona hapo wanayaoga mafuta halafu unasema kafara!?
Screenshot_20190810-174758.jpeg
 
Ilishatokea Nigeria na Congo,idadi ya vifo ilikuwa vingi si chini ya 100,kwa moto wa petroli kupona ni ngumu
Hiv lini mtaacha iman za kijinga kama hizo.

Ajali kama hiz si mara ya kwnza kutokea? Zimetokea nigeria pia... hapannchini ni kama mara ya pili tofauti ni idad ya watu ...
Ajali ni ajali tu hata iweo ndogo au kubwa. Watu wamepoteza maisha. Tujifunze jinsi ya kukabiliana na ajali kama hiz zinapokea next time
 
Ila kwa nini rais kila msiba wa majanga anatuma MTU au anaogopa maiti zikiwa nyingi
 
Hafu kuna watu wanawatetea wale wezi wa mafuta

Wamepata wanachostahili RIP KWA dereva konda na mama abiria pia na wapita njia wote

Anyway sipendagi unafiki najua ntakufa ila vifo vingine vya kujitakia sitaki nife kifo cha kujitakia nature circumstance sio ya kujitakia
Huu ni ujinga !
Dereva na huyo Mama waliungua pia. Walibanwa baada ya gari kuanguka. Kuna watu walikuwa wanajaribu kuwanasua na walipoona kuna moto waliwaacha na kutimua mbio.
Hivi dereva,konda na mama abiria wapo wapi?
 
I know. Tatizo ni mtoa post kuhusisha na iman za kishirikina. Naona ni ajali kama ajali zingine tu.
Ilishatokea Nigeria na Congo,idadi ya vifo ilikuwa vingi si chini ya 100,kwa moto wa petroli kupona ni ngumu
 
Salama JF members,

Pole kwa wale waliopata msiba na majeruhi katika ajali ya Morogoro.

Mola awajalie marehemu wote Pumziko la Amani AMINA.

Naomba niende kwenye Mada husika,

Binafsi najiuliza kama ajali ya Morogoro ni KAFARA au SIYO KAFARA. Naomba kuainisha sababu zangu Kuu 2.

1. Eneo la Tukio, nimeangalia Leo asubuhi wakati PM akiwa eneo la tukio. Mazingira niliyo yaona ni kama vile Janga ni dogo ukilinganisha na idadi ya vifo na majeruhi.

2. Pikipiki zilizokuwa eneo la tukio zimeungua. Ila cha kushangaza Mipira ya Magurudumu ya Pikipiki ambayo ni PLASTIC haijaungua au kuungua kidogo.

Logic hizo mbili zinanifanya nijiulize kuwa ajali ya Morogoro ya Tarehe 10/8/2019 ni KAFARA au SIYO KAFARA

Nimeambatanisha picha ya eneo husika

Ahsanteni.
View attachment 1178331

Aliyetoa kafara ni yupi sasa aliye chomoa betri au aliye fungulia koki ya mafuta?
 
Hakuna kafara ni uzembe tu na tamaa za marehemu
 
Unazani ujenzi wa miradi huwa unaenda hiv hiv tu ni sgr hiyo inapita moro mikoa mingine wajihadhari na ajari za magari barabarani
 
Salama JF members,

Pole kwa wale waliopata msiba na majeruhi katika ajali ya Morogoro.

Mola awajalie marehemu wote Pumziko la Amani AMINA.

Naomba niende kwenye Mada husika,

Binafsi najiuliza kama ajali ya Morogoro ni KAFARA au SIYO KAFARA. Naomba kuainisha sababu zangu Kuu 2.

1. Eneo la Tukio, nimeangalia Leo asubuhi wakati PM akiwa eneo la tukio. Mazingira niliyo yaona ni kama vile Janga ni dogo ukilinganisha na idadi ya vifo na majeruhi.

2. Pikipiki zilizokuwa eneo la tukio zimeungua. Ila cha kushangaza Mipira ya Magurudumu ya Pikipiki ambayo ni PLASTIC haijaungua au kuungua kidogo.

Logic hizo mbili zinanifanya nijiulize kuwa ajali ya Morogoro ya Tarehe 10/8/2019 ni KAFARA au SIYO KAFARA

Nimeambatanisha picha ya eneo husika

Ahsanteni.
View attachment 1178331
Ni ule wakati wa Hoja za kipumbavu pumbavu

Nchi haiwezi kuendelea Kwa kuwa na mijitu inayowaza mambo ya kichawi-chawi tu
 
acha ujinga basi mkuu

kwani lazma pikipikk zote ziungue?
mbona pia kuna watu wameungua ila hawajafa wamekuwa majeruhi tu
 
Watu wangu wanaangamizwa mwa kukosa maarifa hosea4.

Sidhani Kama Kuna kafara yoyote hapo.
Na kupitia hili watz tujifunze na Iwe fundisho kwa wengine.
Kwa Mara ya pili hili tukio linatokea tz.
Mara ya kwanza mbeya tumepoteza ndugu zetu kwa tukio Kama hili..lakini bado watu tumekosa maarifa na akili ya kuyaepuka haya.

Mwenyezi Mungu aachilie uponyaji kwa majeruhi wote.
 
Siyo kafara...

Hayo ndiyo madhara ya moto wa petroli... unakutoa roho kabla hata hujaiva vizuri...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom