Ajali ya Morogoro ni kafara?

Ajali ya Morogoro ni kafara?

chaliko

Senior Member
Joined
Apr 1, 2019
Posts
180
Reaction score
804
Salama JF members,

Pole kwa wale waliopata msiba na majeruhi katika ajali ya Morogoro.

Mola awajalie marehemu wote Pumziko la Amani AMINA.

Naomba niende kwenye Mada husika,

Binafsi najiuliza kama ajali ya Morogoro ni KAFARA au SIYO KAFARA. Naomba kuainisha sababu zangu Kuu 2.

1. Eneo la Tukio, nimeangalia Leo asubuhi wakati PM akiwa eneo la tukio. Mazingira niliyo yaona ni kama vile Janga ni dogo ukilinganisha na idadi ya vifo na majeruhi.

2. Pikipiki zilizokuwa eneo la tukio zimeungua. Ila cha kushangaza Mipira ya Magurudumu ya Pikipiki ambayo ni PLASTIC haijaungua au kuungua kidogo.

Logic hizo mbili zinanifanya nijiulize kuwa ajali ya Morogoro ya Tarehe 10/8/2019 ni KAFARA au SIYO KAFARA

Nimeambatanisha picha ya eneo husika

Ahsanteni.
_108268393_mediaitem108268391.jpeg
 
Hiv lini mtaacha iman za kijinga kama hizo.

Ajali kama hiz si mara ya kwnza kutokea? Zimetokea nigeria pia... hapannchini ni kama mara ya pili tofauti ni idad ya watu ...
Ajali ni ajali tu hata iweo ndogo au kubwa. Watu wamepoteza maisha. Tujifunze jinsi ya kukabiliana na ajali kama hiz zinapokea next time
 
Hivi dereva,konda na mama abiria wapo wapi?
 
Salama JF members,

Pole kwa wale waliopata msiba na majeruhi katika ajali ya Morogoro.

Mola awajalie marehemu wote Pumziko la Amani AMINA.

Naomba niende kwenye Mada husika,

Binafsi najiuliza kama ajali ya Morogoro ni KAFARA au SIYO KAFARA. Naomba kuainisha sababu zangu Kuu 2.

1. Eneo la Tukio, nimeangalia Leo asubuhi wakati PM akiwa eneo la tukio. Mazingira niliyo yaona ni kama vile Janga ni dogo ukilinganisha na idadi ya vifo na majeruhi.

2. Pikipiki zilizokuwa eneo la tukio zimeungua. Ila cha kushangaza Mipira ya Magurudumu ya Pikipiki ambayo ni PLASTIC haijaungua au kuungua kidogo.

Logic hizo mbili zinanifanya nijiulize kuwa ajali ya Morogoro ya Tarehe 10/8/2019 ni KAFARA au SIYO KAFARA

Nimeambatanisha picha ya eneo husika

Ahsanteni.
View attachment 1178331

Waulize waganga wa simiyu gamboshi wacheki kwenye Vipimo vyao tupate jibu
 
Moto ulizimwa na ndio maana hayo matairi hayakuungua.pia watu walijikusanya sehem moja
 
Mkuu Chaliko, sasa hiyo kafara unaiangalia kutoka katika angle ipi? Ni kwa gari kupata ajali sehemu hiyo na hatimaye kufuatia tukio la moto? Ama, moto kutokea na hatimaye pikipiki hizo kuungua? Ama, aina ya uunguaji wa pikipiki? Lakini katika jicho la kawaida tu mbona linaonekana ni tukio la moto lilitokana na wizi wa kizembe bila wahusika wenye dhamana nao kushindwa kuwajibika kwa wakati.
 
Usichokijua ktk kuungua kwa hizo plastiki au maguludumu ya pkpk ni kuwa moto Wa mafuta wakati unaaka mwanzo uaka mafuta tu baada ya muda ndio hushika kifaa mfano unaweza kuchukua vitambaa ukavifunga pamoja kisha kuvimwagia mafuta ukaviwasha kwa kibeliti ukapakaa mafuta mkononi ukaushika ule moto na kuuzima kwa kuufikicha bila kuungua mikono wala vitambaa
 
Salama JF members,

Pole kwa wale waliopata msiba na majeruhi katika ajali ya Morogoro.

Mola awajalie marehemu wote Pumziko la Amani AMINA.

Naomba niende kwenye Mada husika,

Binafsi najiuliza kama ajali ya Morogoro ni KAFARA au SIYO KAFARA. Naomba kuainisha sababu zangu Kuu 2.

1. Eneo la Tukio, nimeangalia Leo asubuhi wakati PM akiwa eneo la tukio. Mazingira niliyo yaona ni kama vile Janga ni dogo ukilinganisha na idadi ya vifo na majeruhi.

2. Pikipiki zilizokuwa eneo la tukio zimeungua. Ila cha kushangaza Mipira ya Magurudumu ya Pikipiki ambayo ni PLASTIC haijaungua au kuungua kidogo.

Logic hizo mbili zinanifanya nijiulize kuwa ajali ya Morogoro ya Tarehe 10/8/2019 ni KAFARA au SIYO KAFARA

Nimeambatanisha picha ya eneo husika

Ahsanteni.
View attachment 1178331
Una maana Gamboshi wametoa adivataizi?
 
Back
Top Bottom