Ajali ya Meli ya Spice - MPESA? TigoPesa?ZPESA??

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,601
11,849
Ivi assume marehemu walikua wanakiasi kikubwa cha pesa kwenye simu zao, zitapatikanaje ili wafiwa wapewe.

NB: Jina langu haliusiani na maswala ya pesa tafadhali.
 
SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,611
7,782
Ivi assume marehemu walikua wanakiasi kikubwa cha pesa kwenye simu zao, zitapatikanaje ili wafiwa wapewe.

NB: Jina langu haliusiani na maswala ya pesa tafadhali.
Tatizo ni ugumu wa wafiwa kuweza kujua kama marehemu alikuwa na pesa ama la....na zaidi wengine huwa na line maalumu kwa ajili ya tigo pesa/mpesa ambazo ndugu pengine sio rahis kuzijua. Lakini kwa vyovyote vile kama ilivyo kwa ma benki, nadhani lazima kuna utaratibu wa kuzipata (kwa kuzingatia sheria za mirathi nk).

Lakini najiuliza pia zile walizokuwa nazo mifukoni (ambazo kwa wafanyabiashara aghalabu huwa nyingi pia) wafiwa watazipataje?
 
Mkuu kwa wale ambao hawajapatikana na meli haiwezi tolewa, inakuaje apo?
 
SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,611
7,782
Mkuu kwa wale ambao hawajapatikana na meli haiwezi tolewa, inakuaje apo?
Itakuwa imekula kwao! Wanawezaje kuthibithisha kuwa muhusika amekufa? Maana so far the official death toll ni 203! Hao wa chini ya maji (bila ya shaka wapo), tumeambiwa ndio imetoka...'wazamiaji kutoka afrika kusini' hawawezi kuwafikia! What an excuse!
 
Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
24,660
5,411
Ivi assume marehemu walikua wanakiasi kikubwa cha pesa kwenye simu zao, zitapatikanaje ili wafiwa wapewe.

NB: Jina langu haliusiani na maswala ya pesa tafadhali.
Pia waokoaji na jeshi la polisi halijasema lolote kuhusu xcash na vitu vya thamani vilivyookolewa.Huenda ndio nitolee.
 
utantambua

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,367
319
Ivi assume marehemu walikua wanakiasi kikubwa cha pesa kwenye simu zao, zitapatikanaje ili wafiwa wapewe.<br />
<br />
NB: Jina langu haliusiani na maswala ya pesa tafadhali.
<br />
<br />

Umewaza mbali mkuu. Haikuwa kichwani mwangu kabisa. Post ya aliyesema walioko chini ya maji ktk meli itathibitishwa vipi kama hao wamekufa nadhani ametoa hoja kubwa. Na wa vigezo na masharti kuzingatiwa ndio kabisa kamaliza. Kufa kufaana
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Hapo hakuna lawama kwa M-pesa, tipo pesa wala Zpesa, ni vigumu kusolve ila ndg wa marehemu wakifatilia zitapatikana kama zipo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom