Ajali ya gari Mkuranga

Yani comment nyingi hapa ni kana kwamba tumeshathibitisha kwamba Uzembe /ubovu uko kwenye gari la Dangote.
Kwa mfano ajali ya juzi gari la Dangote lilikuwa na kosa gani?
Kwa upande wangu wala cjazungumzia hiyo ajari ya jana, bali ni kwa ujumla wake, asilimia kubwa sana gari za dangote zimekuwa chanzo kikubwa sana kwa ajari na hata uendeshaji wao ni mbaya , na hiyo ni kutokana na madreva wake wengi kuwa ni vijana vijana uhuni mwingi!!ndio maana nikatolea mfano kwenye kiwanda chake cha zambia, ilikuwa ni hivi tu, magari yalikuwa mengi wakawa wana ajiri tu vijana ovyo ovyo, kilichotokea ni msibaa, hadi serikali iliposhituka, na kuajiriwa watu wenye sifa stahiki, ndio zikapungua sana!!
 
Yani comment nyingi hapa ni kana kwamba tumeshathibitisha kwamba Uzembe /ubovu uko kwenye gari la Dangote.
Kwa mfano ajali ya juzi gari la Dangote lilikuwa na kosa gani?
Hilo nalo neno mzee.
Dereva wa coaster katananua bila kuangalia mbele, kakutana na Dangote. Kwa kuwa Dangote ana jina baya, zigo lote anatupiwa yeye. Hii sio haki kabisa.
 
Back
Top Bottom