Ajali ya basi NBS toka Tabora to Arusha

Ajali ya basi NBS toka Tabora to Arusha

Status
Not open for further replies.
update ,waliokufa na ajali hii ni watu saba yaani mtoto mdogo mmoja na wakubwa sita
 
RIP wote waliokufa na Mungu awaponye haraka mareruhi wote kwenye ajali hiyo
 
RFA saa sita nusu wametangaza kuwa basi lililopata ajari ni NBS la ktk tabora kwenda Dar, mod unmaganisha uzi huu na ule unaozungumzia basi la NBS
hebu kaangalie vzr mkuu ni basi gani iliyopata ajali make kuna mtu yupo igunga anasema basi iliyopata ajari ni NBS CLASSIC ya kutoka tbr kwenda ars
 
pole aise na marehemu Mungu ampumzime mahala pema peponi aimen:disapointed:
 
JAMANI BASI LILOPATA AJALI NI NBS CLASSIC (PRIDE OF TABORA) LILIKUWA LIKITOKEA TABORA KWENDA ARUSHA,Limeondoka hapa Tbr saa 12 asbh leo likielekea Arusha.
 
jana driver mmoja alikuwa analalamika anaendesha gari masaa 24 bila kupumzika na posho anayopewa ni kidogo na ikitokea chochote hako kaposho ndicho kina katwa kufidia hasara,du ajali hapo ni nje nje
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom