Ajali ya basi la adventure: Kigoma-dar es salam muda huu

Basi la adventure kutoka Kigoma kwenda Dar limepata namba T 880 DDJ limepata ajali muda huu eneo la karibu na daraja la Mlagarasi wilayani Kasulu,ajali hiyo ni kugongana uso kwa uso na Nissan truck,hakuna fatality lakini majeruhi ni 10 ,kati yao 05 wako serious mno,muda huu wamelazwa hospitali katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu.Kati ya majeruhi serious ni dreva na Konda wake ambao wote wamekatika kabisa miguu.

Poleni sana watu wa kigoma
 
Mkuu nina wasiwasi na hizo nambari za gari,
 
Majeruhi nauli zao wamerejeshewa?
 
Mwenyezimungu akupeni afya yenu enyi majeruhi.
Ajali haitazami eti barabara iko safi au mbaya wapo aliokutwa na insidence hizo kwa kufuatwa na gari vyumbani kwao kwa kuacha njia

POLENI SANA GET WELL SOON
 
Back
Top Bottom