Ajali upendo bus kitonga

jimjamtz

Senior Member
Mar 13, 2008
153
28
Kuna ajali imetokea Eneo la kitonga Mkoani Iringa,hakuna kifo kilichoripotiwa.
Tutajuana kadri habari zaidi zikipatitana.
Source Mimi Mwenyewe.
 
Tunajitahidi kupata picha,ila watu waliopo site wanatumia cm za kiganjani tuu...soon we shall improve the Alert!!!
 
navyopafahamu mimi kitonga ikitokea ajali sidhan kama kuna mtu anapona pale.
 
ishibishe habari yako. ni ajali ya aje zimegongana, imeanguka au imekuaje?. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…